Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 12:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Nanyi mtavuka Yordani+ na kukaa katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa iwe miliki,+ naye atawapa pumziko kutokana na adui zenu wanaowazunguka, nanyi hakika mtakaa kwa usalama.+

  • Kumbukumbu la Torati 25:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Na itatukia kwamba wakati ambapo Yehova Mungu wako atakuwa amekupumzisha kutokana na adui zako wanaokuzunguka pande zote katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa iwe urithi ili uimiliki,+ utafutilia mbali jina la Amaleki kutoka chini ya mbingu.+ Hupaswi kusahau.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki