Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 10:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Na Yoshua akateka Makeda+ siku hiyo, akalipiga kwa makali ya upanga. Naye akamwangamiza mfalme wake na kila nafsi iliyokuwamo ndani yake.+ Hakuacha mtu yeyote aokoke. Kwa hiyo akamtendea mfalme wa Makeda+ kama vile alivyomtendea mfalme wa Yeriko.

  • Zaburi 139:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Ni wapi ninapoweza kwenda mbali na roho yako,+

      Na ni wapi ninapoweza kukimbilia mbali na uso wako?+

  • Amosi 9:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Nao wakijificha katika kilele cha Karmeli, nitawatafuta kwa uangalifu na kuwachukua kutoka huko.+ Na wakijificha kwenye sakafu ya bahari kutoka mbele za macho yangu,+ huko chini nitamwamuru nyoka, naye atawauma.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki