Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 10:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Basi Yehova akalitia jiji hilo na mfalme wake pia mkononi mwa Israeli, nao wakalipiga jiji hilo na kila nafsi iliyokuwa ndani yake kwa makali ya upanga. Hawakuacha mtu yeyote aokoke ndani yake. Kwa hiyo wakamtendea mfalme wake kama vile walivyomtendea mfalme wa Yeriko.+

  • Yoshua 10:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Kwa hiyo Yehova akatia Lakishi mkononi mwa Israeli, nao wakaliteka siku ya pili, wakalipiga kwa makali ya upanga na pia kila nafsi iliyokuwa ndani yake,+ kulingana na yote ambayo walikuwa wamelitendea Libna.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki