Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 3:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Nasi tukaitwaa nchi hii wakati huo; kutoka Aroeri,+ kando ya bonde la Arnoni, na nusu ya eneo lenye milima la Gileadi, na majiji yake nimewapa Warubeni na Wagadi.+

  • Waamuzi 11:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Wakati Israeli walipokuwa wakikaa katika Heshboni na miji yake ya kandokando+ na katika Aroeri+ na miji yake ya kandokando na katika majiji yote yaliyo kando ya kingo za Arnoni kwa miaka mia tatu, kwa nini, basi, hamkuinyakua wakati huo?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki