Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 14:45
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 45 Ndipo Waamaleki+ na Wakanaani waliokuwa wakikaa katika mlima huo wakashuka na kuanza kuwapiga nao wakawatawanya mpaka Horma.+

  • Kumbukumbu la Torati 1:44
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 44 Ndipo Waamori waliokuwa wakikaa katika mlima huo wakatoka ili kukutana nanyi nao wakawafuatilia ninyi,+ kama vile nyuki wanavyofanya, na kuwatawanya ninyi huko Seiri mpaka Horma.+

  • Yoshua 19:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 na Eltoladi+ na Bethuli na Horma,

  • Waamuzi 1:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Lakini Yuda akasonga mbele akiwa na Simeoni ndugu yake, nao wakawapiga Wakanaani waliokaa Sefathi na kuliharibu+ jiji. Basi jina la jiji hilo likaitwa Horma.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki