Yoshua 15:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Na mpaka huo ukazunguka kutoka Baala kuelekea upande wa magharibi hadi Mlima Seiri ukaendelea hadi kwenye mteremko wa Mlima Yearimu upande wa kaskazini, yaani, Kesaloni; nao ukashuka hadi Beth-shemeshi+ na kuendelea hadi Timna.+ Waamuzi 14:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Ndipo Samsoni akashuka mpaka Timna,+ akamwona mwanamke mmoja huko Timna kati ya binti za Wafilisti.
10 Na mpaka huo ukazunguka kutoka Baala kuelekea upande wa magharibi hadi Mlima Seiri ukaendelea hadi kwenye mteremko wa Mlima Yearimu upande wa kaskazini, yaani, Kesaloni; nao ukashuka hadi Beth-shemeshi+ na kuendelea hadi Timna.+
14 Ndipo Samsoni akashuka mpaka Timna,+ akamwona mwanamke mmoja huko Timna kati ya binti za Wafilisti.