Yoshua 15:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Na mpaka huo ukazunguka kutoka Baala kuelekea upande wa magharibi hadi Mlima Seiri ukaendelea hadi kwenye mteremko wa Mlima Yearimu upande wa kaskazini, yaani, Kesaloni; nao ukashuka hadi Beth-shemeshi+ na kuendelea hadi Timna.+ Yoshua 19:43 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 43 na Eloni na Timna+ na Ekroni,+
10 Na mpaka huo ukazunguka kutoka Baala kuelekea upande wa magharibi hadi Mlima Seiri ukaendelea hadi kwenye mteremko wa Mlima Yearimu upande wa kaskazini, yaani, Kesaloni; nao ukashuka hadi Beth-shemeshi+ na kuendelea hadi Timna.+