9 Kisha Yoabu akampa mfalme hesabu ya watu walioandikishwa;+ na Israeli wakawa jumla ya wanaume mashujaa mia nane elfu wenye kutumia upanga, na wanaume wa Yuda wakawa mia tano elfu.+
26 Mfalme wa Moabu alipoona kwamba pigano limekuwa na nguvu kumshinda, ndipo mara moja akachukua pamoja naye watu mia saba wenye kutumia upanga ili wapenye mpaka kwa mfalme wa Edomu;+ lakini hawakuweza.