Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 16:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na mpaka wa wana wa Efraimu kulingana na familia zao ulikuwa, ndiyo, mpaka wa urithi wao upande wa mashariki ulikuwa Ataroth-adari,+ hadi Beth-horoni ya Juu;+

  • Waamuzi 7:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Na Gideoni akatuma wajumbe katika eneo lote lenye milima la Efraimu,+ akisema: “Shukeni mkutane na Midiani na mshike hayo maji mbele yao mpaka Beth-bara na Yordani.” Basi watu wote wa Efraimu wakakusanywa pamoja, nao wakayashika maji+ mpaka Beth-bara na Yordani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki