21 “‘Lakini ikiwa mtaendelea kutembea kwa kunipinga nanyi msitake kunisikiliza mimi, ndipo nitakapoleta juu yenu mapigo mara saba zaidi kulingana na dhambi zenu.+
55 “‘Hata hivyo, ikiwa hamtawafukuzia mbali wakaaji wa nchi hiyo kutoka mbele yenu,+ basi wale mtakaoacha watakuwa kama michomo katika macho yenu na kama miiba ubavuni mwenu, nao watawasumbua katika nchi ambamo mtakuwa mkikaa.+
51 Nao hakika watakula uzao wa wanyama wako wa kufugwa na mazao ya udongo wako mpaka utakapokuwa umeangamizwa,+ nao hawatakuachia nafaka yoyote, divai mpya au mafuta, mtoto wa ng’ombe wako au uzao wa kundi lako, mpaka watakapokuwa wamekuangamiza.+