Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Ng’ombe-dume wako atachinjwa hapo mbele ya macho yako—lakini hutakula sehemu yoyote yake. Utanyang’anywa punda wako mbele ya uso wako—lakini hatarudi kwako. Kondoo wako watapewa adui zako—lakini hutakuwa na mwokozi yeyote.+

  • Kumbukumbu la Torati 28:48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Nawe utalazimika kuwatumikia adui+ zako ambao Yehova atawatuma juu yako kwa njaa+ na kiu na uchi na uhitaji wa kila kitu; naye hakika ataweka nira ya chuma katika shingo yako mpaka atakapokuwa amekuangamiza wewe.+

  • Mika 6:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Nawe utapanda mbegu, bali hutavuna. Nawe utakanyaga zeituni, bali hutajipaka mafuta; pia divai tamu, bali hutakunywa divai.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki