Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 17:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Mwishowe utakapoingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe, nawe uwe umeimiliki na kukaa ndani yake,+ nawe uwe umesema, ‘Acha niweke mfalme juu yangu kama mataifa yote yanayonizunguka’;+

  • Waamuzi 8:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Baadaye watu wa Israeli wakamwambia Gideoni: “Tawala juu yetu,+ wewe na mwana wako na mjukuu wako vilevile, kwa maana umetuokoa kutoka katika mkono wa Midiani.”+

  • 1 Samweli 8:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Ndipo Yehova akamwambia Samweli:+ “Sikiliza sauti ya watu kuhusu mambo yote wanayokuambia;+ kwa maana hawakukukataa wewe, bali wamenikataa mimi nisiwe mfalme+ juu yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki