Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 8:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 na kumwambia: “Tazama! Wewe mwenyewe umezeeka, lakini wana wako hawakutembea katika njia zako. Basi sasa tuchagulie mfalme+ wa kutuhukumu sisi kama mataifa mengine yote.”

  • 1 Samweli 8:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Na sisi pia, lazima tuwe kama mataifa mengine yote,+ na mfalme wetu lazima atuhukumu na kwenda mbele yetu na kupigana vita vyetu.”

  • 1 Samweli 10:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Lakini ninyi—leo mmemkataa Mungu+ wenu ambaye alikuwa mwokozi wenu kutoka katika maovu yenu yote na taabu zenu, nanyi mkasema: “Hapana, bali uweke mfalme juu yetu.” Basi sasa simameni mbele za Yehova kulingana na makabila+ yenu na kulingana na maelfu yenu.’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki