Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 17:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Mwishowe utakapoingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe, nawe uwe umeimiliki na kukaa ndani yake,+ nawe uwe umesema, ‘Acha niweke mfalme juu yangu kama mataifa yote yanayonizunguka’;+

  • 1 Samweli 12:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Na sasa tazameni, mfalme mliyemchagua, ambaye mliomba;+ na tazameni, Yehova ameweka mfalme juu yenu.+

  • Hosea 13:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 “Basi, yuko wapi mfalme wako, apate kukuokoa katika majiji yako yote,+ na waamuzi wako, ambao ulisema hivi kuwahusu, ‘Nipe mfalme na wakuu’?+

  • Matendo 13:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Lakini tangu hapo na kuendelea wakadai mfalme,+ na Mungu akawapa Sauli mwana wa Kishi, mwanamume wa kabila la Benyamini,+ kwa miaka 40.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki