48 Kwa hiyo Abimeleki akapanda Mlima Salmoni,+ yeye na watu wote waliokuwa pamoja naye. Basi Abimeleki akachukua shoka mkononi mwake, akakata tawi la mti, akaliinua na kuliweka begani pake, akawaambia watu waliokuwa pamoja naye: “Mlivyoona nikifanya—fanyeni hivyo, haraka, kama mimi!”+