Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 26:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Basi Isaka akawaambia: “Kwa nini ninyi mmekuja kwangu, hali ninyi wenyewe mlinichukia na kwa sababu hiyo mkaniagiza nitoke katika ujirani wenu?”+

  • Kumbukumbu la Torati 21:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Kwa maana anapaswa kumtambua mwana wa yule anayechukiwa kuwa mzaliwa wa kwanza kwa kumpa sehemu mbili za kila kitu alicho nacho,+ kwa sababu huyo ndiye mwanzo wa nguvu zake za uzazi.+ Haki ya cheo cha mzaliwa wa kwanza ni yake.+

  • Waamuzi 11:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Na mke wa Gileadi akaendelea kumzalia wana. Wakati wana wa mke yule walipokuwa wakubwa, wakamfukuza Yeftha na kumwambia: “Usiwe na urithi wowote katika nyumba ya baba yetu,+ kwa sababu wewe ni mwana wa mwanamke mwingine.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki