Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 46:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kuna wale wanaotoa dhahabu kwa wingi katika kikoba, nao hupima fedha kwa mizani. Wanamwajiri fundi wa chuma, naye huifanya kuwa mungu.+ Wanasujudu, ndiyo, wanainama.+

  • Yeremia 10:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Fedha iliyofuliwa ikawa mabamba ndiyo inayoletwa kutoka Tarshishi,+ na dhahabu kutoka Ufazi,+ kazi ya fundi na ya mikono ya fundi wa chuma; mavazi yao ni uzi wa bluu na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau. Vyote ni kazi ya watu stadi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki