Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 23:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 “‘Na wakati mnapovuna mavuno ya nchi yenu, hutamaliza kabisa ukingo wa shamba lako unapovuna, na masalio ya mavuno yako hutaokota.+ Utayaacha kwa ajili ya watu wenye kuteseka+ na mkaaji mgeni.+ Mimi ni Yehova Mungu wenu.’”

  • Ruthu 2:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Baada ya muda Ruthu yule mwanamke Mmoabu akamwambia Naomi: “Tafadhali, acha niende shambani nikaokote masalio+ katikati ya masuke ya nafaka nyuma ya yeyote yule nitakayepata kibali machoni pake.” Basi akamwambia: “Nenda, binti yangu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki