Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 15:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Lakini Sauli na watu wakamhurumia Agagi na wanyama bora zaidi wa kundi na mifugo+ na walio wanono na kondoo-dume na vyote vilivyokuwa bora, nao hawakutaka kuwaangamiza.+ Lakini vitu vyote vilivyokuwa vyenye kudharaulika na vyenye kukataliwa, wakaviangamiza.

  • Yeremia 48:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 “Alaaniwe yule mtu anayetimiza utume wa Yehova kwa uzembe;+ na alaaniwe yule mtu anayeuzuilia upanga wake usimwage damu!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki