Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 31:54
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 54 Baada ya hayo Yakobo akachinja dhabihu katika huo mlima na kuwaalika ndugu zake wale mkate.+ Basi wakala mkate na kukaa usiku huo mlimani.

  • 1 Samweli 7:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Ndipo Samweli akachukua mwana-kondoo anayenyonya, akamtoa kwa Yehova kuwa toleo la kuteketezwa,+ toleo zima; na Samweli akaanza kumwomba Yehova msaada kwa ajili ya Israeli,+ naye Yehova akamjibu.+

  • 1 Samweli 16:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Naye akasema: “Kunamaanisha amani. Nimekuja kumtolea Yehova dhabihu. Jitakaseni,+ nanyi mje pamoja nami kwenye dhabihu.” Ndipo akamtakasa Yese na wanawe, kisha akawaita waje kwenye dhabihu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki