-
Waamuzi 6:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Nawe umjengee Yehova Mungu wako madhabahu mbele ya ngome hii, kwa mistari ya mawe, nawe umchukue ng’ombe-dume mchanga wa pili, umtoe kama toleo la kuteketezwa juu ya kuni za ule mti mtakatifu ambao utaukata.”
-