-
1 Samweli 9:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Kwa hiyo yule mpishi akainua ule mguu na ile nyama iliyokuwa juu yake, akauweka mbele ya Sauli. Naye akasema tena: “Kilichowekwa akiba ndicho hiki. Kiweke mbele yako. Ule, kwa maana wamekuwekea hicho akiba mpaka wakati uliowekwa ili ule pamoja na wale walioalikwa.” Basi Sauli akala pamoja na Samweli siku hiyo.
-