Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 9:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Na punda-jike+ za Kishi baba ya Sauli wakapotea. Basi Kishi akamwambia Sauli mwana wake: “Tafadhali, chukua pamoja nawe mmoja wa watumishi, uondoke, uende kuwatafuta hao punda-jike.”

  • 1 Samweli 9:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ndipo Sauli akamwambia mtumishi wake: “Neno lako ni jema.+ Haya njoo, twende.” Nao wakaenda zao kwenye jiji lile alilokuwamo mtu wa Mungu wa kweli.

  • 1 Samweli 20:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Naye Yonathani akaendelea kuita kutoka nyuma ya mtumishi: “Upesi! Fanya haraka! Usisimame tuli!” Na yule mtumishi wa Yonathani akaiokota ile mishale, kisha akarudi kwa bwana wake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki