Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 14:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Lakini wakisema hivi, ‘Njooni juu yetu!’ ndipo tutakapopanda, kwa sababu hakika Yehova atawatia mkononi mwetu, na hii itakuwa ndiyo ishara kwetu.”+

  • 1 Samweli 17:44
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 44 Na huyo Mfilisti akaendelea kumwambia Daudi: “Wewe nikaribie tu, nyama yako nitawapa ndege wa mbinguni na wanyama wa mwituni.”+

  • 2 Wafalme 14:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha wakati huo Amazia aliwatuma wajumbe kwa Yehoashi mwana wa Yehoahazi mwana wa Yehu mfalme wa Israeli, na kusema: “Haya njoo. Tutazamane uso kwa uso.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki