1 Samweli 13:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Na ikawa kwamba mara alipokuwa amemaliza kuitoa dhabihu ya kuteketezwa, tazama, Samweli alikuwa anaingia. Basi Sauli akatoka kwenda kumpokea na kumbariki.+
10 Na ikawa kwamba mara alipokuwa amemaliza kuitoa dhabihu ya kuteketezwa, tazama, Samweli alikuwa anaingia. Basi Sauli akatoka kwenda kumpokea na kumbariki.+