Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 17:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Na mpini wa mkuki wake ulikuwa kama mti wa wafumaji wa nguo,+ na kichwa cha mkuki wake kilikuwa shekeli mia sita za chuma; na mchukuzi wa ngao kubwa alikuwa akitembea mbele yake.

  • 1 Mambo ya Nyakati 11:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Naye ndiye aliyempiga na kumuua yule mwanamume Mmisri, mwanamume aliyekuwa mkubwa isivyo kawaida, mwenye urefu wa mikono mitano.+ Na mkononi mwa yule Mmisri kulikuwa na mkuki+ kama mti wa wafumaji wa nguo; na bado yeye alishuka kumwendea akiwa na fimbo, akaunyakua ule mkuki kutoka mkononi mwa yule Mmisri na kumuua kwa mkuki wake mwenyewe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki