Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 19:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Baadaye Sauli akatuma wajumbe+ kwa nyumba ya Daudi ili wailinde na kumuua asubuhi;+ lakini Mikali mke wake akamwambia Daudi, akisema: “Usipoiponya nafsi yako usiku wa leo, kesho utakuwa mtu aliyeuawa.”

  • 1 Samweli 23:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Mwishowe Sauli akaja upande huu wa mlima, na Daudi na watu wake wakawa upande mwingine wa mlima huo. Basi Daudi akafanya haraka kuondoka+ kwa sababu ya Sauli; wakati huo wote Sauli na watu wake walikuwa wakimzunguka Daudi na watu wake ili kuwakamata.+

  • 2 Samweli 15:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Sasa Absalomu akatuma wapelelezi+ katika nchi yote ya Israeli, akisema: “Mara mtakaposikia sauti ya baragumu, ninyi pia mseme, ‘Absalomu amekuwa mfalme+ katika Hebroni!’”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki