27 Na mfalme akaendelea kumwambia Sadoki kuhani: “Wewe ni mwonaji, sivyo?+ Rudi jijini kwa amani, na pia Ahimaazi mwana wako na Yonathani+ mwana wa Abiathari, wana wenu wawili, pamoja nanyi.
42 Alipokuwa bado anasema, tazama, Yonathani+ mwana wa Abiathari kuhani akaja. Ndipo Adoniya akasema: “Ingia ndani, kwa maana wewe ni mwanamume mwenye nguvu, nawe unaleta habari njema.”+