Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 12:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Israeli wote walipoona kwamba mfalme hakuwasikiliza, ndipo watu wakamjibu mfalme, wakisema: “Tuna fungu gani katika Daudi?+ Wala hakuna urithi katika mwana wa Yese. Haya, nenda kwa miungu yako,+ Ee Israeli. Sasa angalia nyumba yako mwenyewe, Ee Daudi!”+ Kwa hiyo Israeli wakaanza kwenda katika mahema yao.

  • 1 Wafalme 14:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 nami nikaurarua+ ufalme kutoka katika nyumba ya Daudi na kukupa wewe, nawe hujawa kama mtumishi wangu Daudi, aliyeshika amri zangu na kunifuata kwa moyo wake wote kwa kufanya yaliyokuwa sawa tu machoni pangu,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki