2 Mambo ya Nyakati 18:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Ndipo akaingia kwa mfalme, naye mfalme akamwambia: “Mikaya, je, twende kupiga vita juu ya Ramothi-gileadi, au nijiepushe?” Mara moja akasema: “Panda uende na kufanikiwa; nao watatiwa mkononi mwenu.”+
14 Ndipo akaingia kwa mfalme, naye mfalme akamwambia: “Mikaya, je, twende kupiga vita juu ya Ramothi-gileadi, au nijiepushe?” Mara moja akasema: “Panda uende na kufanikiwa; nao watatiwa mkononi mwenu.”+