1 Wafalme 22:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Ndipo akaingia kwa mfalme, naye mfalme akamwambia: “Mikaya, je, twende kupiga vita juu ya Ramothi-gileadi, au tujiepushe?” Mara moja akamwambia: “Panda uende na kufanikiwa; na Yehova atalitia mkononi mwa mfalme.”+
15 Ndipo akaingia kwa mfalme, naye mfalme akamwambia: “Mikaya, je, twende kupiga vita juu ya Ramothi-gileadi, au tujiepushe?” Mara moja akamwambia: “Panda uende na kufanikiwa; na Yehova atalitia mkononi mwa mfalme.”+