Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 33:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Naye mwenyewe akapita mbele yao akaanza kuinama mpaka chini mara saba mpaka alipomkaribia ndugu yake.+

  • Mwanzo 48:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kisha Yosefu akawatoa katika magoti yake, naye akainama kifudifudi.+

  • Kutoka 18:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Mara moja Musa akatoka kwenda kumpokea baba-mkwe wake, naye akajilaza kifudifudi mbele yake na kumbusu;+ na kila mmoja wao akaanza kuuliza jinsi yule mwingine alivyokuwa akiendelea. Kisha wakaingia hemani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki