1 Wafalme 10:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Kwa maana mfalme alikuwa na kundi la meli za Tarshishi+ baharini pamoja na kundi la meli za Hiramu. Mara moja kila miaka mitatu kundi la meli za Tarshishi zilikuja zikiwa zimebeba dhahabu+ na fedha, pembe za tembo,+ na sokwe na tausi. Ezekieli 27:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Wana wa Dedani+ walikuwa wafanya-biashara wako; visiwa vingi vilikuwa wanabiashara uliowaajiri; wamekulipa pembe za tembo+ na mpingo kama zawadi.
22 Kwa maana mfalme alikuwa na kundi la meli za Tarshishi+ baharini pamoja na kundi la meli za Hiramu. Mara moja kila miaka mitatu kundi la meli za Tarshishi zilikuja zikiwa zimebeba dhahabu+ na fedha, pembe za tembo,+ na sokwe na tausi.
15 Wana wa Dedani+ walikuwa wafanya-biashara wako; visiwa vingi vilikuwa wanabiashara uliowaajiri; wamekulipa pembe za tembo+ na mpingo kama zawadi.