-
Ufunuo 18:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 mali zilizojaa+ za dhahabu na fedha na jiwe la thamani na lulu na kitani bora na zambarau na hariri na vitambaa vyekundu; na kila kitu cha miti iliyotiwa manukato na kila namna ya kitu cha pembe ya tembo na kila namna ya kitu kinachotokana na miti ya thamani zaidi na cha shaba na cha chuma na cha marumaru;+
-