2 Samweli 18:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Ndipo Yoabu akasema: “Acha nisijikawize hivi mbele yako!” Basi akachukua mkononi mwake mikuki midogo mitatu, akaichoma+ ndani ya moyo wa Absalomu alipokuwa bado hai+ katikati ya ule mti mkubwa.
14 Ndipo Yoabu akasema: “Acha nisijikawize hivi mbele yako!” Basi akachukua mkononi mwake mikuki midogo mitatu, akaichoma+ ndani ya moyo wa Absalomu alipokuwa bado hai+ katikati ya ule mti mkubwa.