-
1 Wafalme 6:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Na ile milango miwili ilikuwa ya mbao za mfuta, naye akachonga juu yake michongo ya makerubi na maumbo ya mitende na michoro ya maua, naye akaifunika kwa dhahabu; kisha akafua ile dhahabu juu ya wale makerubi na yale maumbo ya mitende.
-