Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 1:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Nenda uingie kwa Mfalme Daudi, umwambie, ‘Je, si wewe, bwana wangu mfalme, uliyemwapia kijakazi wako, ukisema: “Sulemani mwana wako ndiye atakayekuwa mfalme baada yangu, naye ndiye atakayeketi juu ya kiti changu cha ufalme”?+ Basi kwa nini Adoniya amekuwa mfalme?’

  • 1 Wafalme 1:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Basi akamwambia: “Bwana wangu,+ wewe ndiye uliyemwapia kijakazi wako kwa Yehova Mungu wako hivi, ‘Sulemani mwana wako ndiye atakayekuwa mfalme baada yangu, naye ndiye atakayeketi juu ya kiti changu cha ufalme.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki