Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:53
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 53 Ndipo utalazimika kula uzao wa tumbo lako, nyama ya wana wako na binti zako,+ ambao Yehova Mungu wako amekupa wewe, kwa sababu ya mbano na mkazo ambao adui yako atakusonga nao.

  • 2 Wafalme 6:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Baada ya muda njaa kali ikatokea katika Samaria,+ na, tazama! walilizingira mpaka kichwa cha punda+ kikawa na thamani ya vipande 80 vya fedha, na sehemu ya nne ya kipimo cha kabi cha mavi+ ya njiwa ikawa na thamani ya vipande 5 vya fedha.

  • Ezekieli 4:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Basi akaniambia: “Tazama, nimekupa wewe mavi ya ng’ombe badala ya mashonde ya wanadamu, nawe utaufanya mkate wako juu yake.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki