Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 22:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Kisha Shafani mwandishi akaingia kwa mfalme, akamjibu mfalme na kusema: “Watumishi wako wamemimina pesa ambazo zilikuwa ndani ya nyumba, nao wanaendelea kuzitia katika mkono wa wale wanaofanya kazi, wale waliochaguliwa, katika nyumba ya Yehova.”+

  • 2 Mambo ya Nyakati 34:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na katika mwaka wa kumi na nane+ wa kutawala kwake, alipokuwa ameitakasa nchi na nyumba, akawatuma Shafani+ mwana wa Azalia na Maaseya mkuu wa jiji na Yoa mwana wa Yoahazi karani wakarekebisha+ nyumba ya Yehova Mungu wake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki