Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 5:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Ndipo mana ikaacha kuanguka siku iliyofuata walipokuwa wamekula mazao ya nchi, wala mana haikuja tena kwa ajili ya wana wa Israeli,+ nao wakaanza kula mazao ya nchi ya Kanaani mwaka huo.+

  • 1 Wafalme 17:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Kwa maana Yehova Mungu wa Israeli, amesema hivi, ‘Ule mtungi mkubwa wa unga hautamalizika, na ule mtungi mdogo wa mafuta hautapungua mpaka siku Yehova atakapoleta mvua juu ya uso wa nchi.’”+

  • Yohana 6:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Lakini walipokuwa wameshiba+ akawaambia wanafunzi wake: “Kusanyeni pamoja vipande ambavyo vimebaki, ili chochote kisipotee bure.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki