2 Wafalme 5:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Ndipo mfalme wa Siria akasema: “Anza safari! Haya njoo, nami nipeleke barua kwa mfalme wa Israeli.” Basi akaenda, akachukua mkononi+ mwake talanta kumi za fedha na vipande elfu sita vya dhahabu+ na mavazi+ kumi.
5 Ndipo mfalme wa Siria akasema: “Anza safari! Haya njoo, nami nipeleke barua kwa mfalme wa Israeli.” Basi akaenda, akachukua mkononi+ mwake talanta kumi za fedha na vipande elfu sita vya dhahabu+ na mavazi+ kumi.