-
Zekaria 6:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Ndipo nikainua tena macho yangu nikaona; na tazama! kulikuwa na magari manne yakija kutoka katikati ya milima miwili, na milima hiyo ilikuwa milima ya shaba.
-