-
Waamuzi 3:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Na Ehudi akamjia alipokuwa ameketi katika chumba chake cha darini chenye baridi ambacho kilikuwa chake binafsi. Naye Ehudi akaendelea kusema: “Nina neno linalotoka kwa Mungu kwa ajili yako.” Kwa hiyo akasimama kutoka katika kiti chake cha ufalme.
-