-
1 Wafalme 16:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Katika mwaka wa 31 wa Asa mfalme wa Yuda, Omri akawa mfalme juu ya Israeli kwa miaka 12. Akatawala miaka 6 kule Tirsa.
-