Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 18:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Basi Daudi alikuwa ameketi kati ya yale malango mawili.+ Na wakati huo mlinzi+ akaenda juu ya paa ya lango kando ya ukuta. Baada ya muda akainua macho yake, akaona, na tazama! palikuwa na mtu anakimbia akiwa peke yake.

  • 2 Samweli 18:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Sasa mlinzi akaona mtu mwingine akiwa anakimbia. Kwa hiyo mlinzi akamwita mtunza-lango na kusema: “Tazama! Mtu mwingine anakimbia akiwa peke yake!” naye mfalme akasema: “Huyo pia ni mleta-habari.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki