Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 6:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Ndipo Yoshua akatangaza kiapo wakati huo, akasema: “Na alaaniwe mbele za Yehova mtu yule atakayesimama na kujenga jiji hili, yaani, Yeriko. Kwa kufiwa na mzaliwa wake wa kwanza na auweke msingi wake, na kwa kufiwa na mwana wake aliye mdogo zaidi na aisimamishe milango yake.”+

  • 1 Wafalme 16:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Katika siku zake Hieli Mbetheli akajenga Yeriko. Kwa kufiwa na Abiramu mzaliwa wake wa kwanza yeye aliuweka msingi wake, na kwa kufiwa na Segubu mwana wake aliye mdogo zaidi yeye aliisimamisha milango yake, kulingana na neno la Yehova alilosema kupitia Yoshua mwana wa Nuni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki