2 Wafalme 13:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Na Yehoashi mwana wa Yehoahazi akachukua tena kutoka mkononi mwa Ben-hadadi mwana wa Hazaeli yale majiji aliyokuwa amechukua kutoka mkononi mwa Yehoahazi baba yake katika vita. Yehoashi akampiga mara tatu, naye akayarudisha majiji ya Israeli.+
25 Na Yehoashi mwana wa Yehoahazi akachukua tena kutoka mkononi mwa Ben-hadadi mwana wa Hazaeli yale majiji aliyokuwa amechukua kutoka mkononi mwa Yehoahazi baba yake katika vita. Yehoashi akampiga mara tatu, naye akayarudisha majiji ya Israeli.+