Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 14:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Ndipo mke wa Yeroboamu akaondoka, akaenda zake, akafika Tirsa.+ Alipokuwa akikaribia mlango wa nyumba, yule mvulana akafa.

  • 1 Wafalme 15:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Na ikawa kwamba mara tu Baasha aliposikia habari hizo, mara moja akaacha kujenga Rama,+ akaendelea kukaa kule Tirsa.+

  • 1 Wafalme 16:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Katika mwaka wa 26 wa Asa mfalme wa Yuda, Ela mwana wa Baasha akawa mfalme juu ya Israeli kule Tirsa kwa miaka miwili.

  • 1 Wafalme 16:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Sasa Omri na Israeli wote pamoja naye wakapanda kutoka Gibethoni, wakaanza kuzingira+ Tirsa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki