Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 16:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ndipo Yese akamwita Abinadabu,+ akampitisha mbele ya Samweli, lakini akasema: “Yehova hakumchagua huyu pia.”

  • 1 Samweli 17:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Na wale wana watatu wakubwa zaidi wa Yese wakaenda. Walimfuata Sauli kwenda vitani,+ na majina ya wanawe watatu walioenda vitani ni Eliabu+ mzaliwa wa kwanza, na mwana wake wa pili Abinadabu+ na wa tatu Shamma.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki