1 Samweli 17:49 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 49 Ndipo Daudi akatia mkono wake ndani ya mfuko wake, akachukua jiwe kutoka humo, akalitupa kwa kombeo, hivi kwamba akampiga+ yule Mfilisti katika paji la uso wake, na lile jiwe likapenya ndani ya paji la uso wake, naye akaanguka kifudifudi.+
49 Ndipo Daudi akatia mkono wake ndani ya mfuko wake, akachukua jiwe kutoka humo, akalitupa kwa kombeo, hivi kwamba akampiga+ yule Mfilisti katika paji la uso wake, na lile jiwe likapenya ndani ya paji la uso wake, naye akaanguka kifudifudi.+